-
Ndio
-
1) Ukiji andikisha, uta pata kujua maendeleo yako na masomo ya awali.
2) Utasoma bila matangazo (bada ya kutoa mchango)
-
Bada ya kutoa mchango tuta ondoa matangazo katika akaunti yako. Tafadhali kua na subra kwa sababu hii ni mchakato.
-
1) Andika ushari wako kwa unayo yapenda na yale huyapendi.
2) Andika kuhusu mafikira yako, yatakayo saidia kuboresha masomo.
3) Waeleze rafiki zako kuhusu sisi (na ututangazo kwa mitandao, ama utu unge kwa mtandao wetu wa facebook https://www.facebook.com/TouchTypingStudy).
-
Ule muda unahitajika kusoma touch type uta tegemea na wewe. Pia ni muhimu kufanya mazoezi kila siku. Ndio upate matokeo mazuri.
Tuna ku shauri usome somo moja kila siku. Kumbuka kujua mahali harufu zote zipo haimanishi uko tayari kuandika kwa haraka. Vidole vyako lazima vijue mwendo wa kusonga na akili yako I hitimu mahali herufu ziko bila kufikira ama kuangalia kibodi. Lazima uendele ku hifadhi ndio ujue. Kumbuka mazoezi peke yake ndio yataku fanya kamili!
-
Kuoima maneno kwa dakika, program in hisabu ni maneno mangapi ume andika kwa mradi wa dakika moja. Neon 1 = herufu 5 pamoja na herufu zote na nafasi kati kati ya maneno.
-
Kwa uoande wa kiufundi una hitaji mdahalisi. Ijapokua utahitaji kuji hamasihsa na kutaka kusoma touch typing skill.
-
Tafadhali hakikisha kua Caps Lock haifanyi ukianza ku andika. Ikuwa Caps Lock ina fanya, unhatijajika ku bofya shift.
-
Type study ni ya kila mtu anae taka kujiendeleza na ku type. Touch Typing ni ujuzi amabo utawezesha mtu ku type bila kuangalia keyboard na awe sahihi kwa mandishi yake.
-
Ndiyo, Typing Masomo ni mzuri pia kwa watu wenye wako na dyslexia. Na touch typing skill watu hawa wako na faida tofauti katika idadi ya maeneo bila Na touch typing skill. Kama baadhi ya watu dyslexic kuwa na shida ya kuandika, katika upande zote za haraka kwa kuandika na kusoma, typed work itakua rahisi sana kwao.